Jenga mbili mkuuAisee nyumba nzuri. Ushauri humu jamani Nina kiwanja changu karibu na bagamoyo nipo tayari kujenga. Nyumba kwa ajili ya biashara jee ni vizuri nijenge vijumba kama hivyo viwili. Za vyumba viwili. Au nyumba moja tu ya vyumba 3?
AsanteJenga mbili mkuu
Unapapita temboni kwa mpemba mkuu...Da
Dk 10 kwa mguu,