dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Kweli kabisa mkuuNyumba nzuri sana. Ningekuwa na pesa hiyo nisingefikiria mara mbili kuinunua Mkuu
Kule mbali, hapa ni jirani na kwa aliyekuwa mkuu wa majeshi Mh Mwamunyange
Sawa nimefahamu. Mitaa ya kwa Mama Ngonyani. Eneo zuri sana na ni salama halafu kutoka hapo kuna barabara za kutoshaKule mbali, hapa ni jirani na kwa aliyekuwa mkuu wa majeshi Mh Mwamunyange
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu ila hata hivyo ninazo nyumba nyingine zaidi kama vipi nichk nikuonyesheMkuu ikifikia 250 million nitafute tafadhali.
Sawa nimefahamu. Mitaa ya kwa Mama Ngonyani. Eneo zuri sana na ni salama halafu kutoka hapo kuna barabara za kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
450 vipi ina masilahi?Nyumba ni ya ghorofa moja ipo mbezi Jangwani beach au kwa mwamunyange, ina vyumba 4 vyote ni self.jiko,dining room,sebule,office, na chumba cha kusomea.
Size plot 1000 sqm
Bei 600m Tsh
Maongezi zaidi au kuja kuona wasiliana nami kwa:-
0756060183View attachment 993323View attachment 993325View attachment 993327View attachment 993328View attachment 993329View attachment 993330View attachment 993331
Sent using Jamii Forums mobile app
vp nikuchukulie babay
450 vipi ina masilahi?