Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa mbezi beach

Nyumba yetu ni ndogo lakini inavyumba ita hii ghorofa ina vyumba vinne.. nikiinunua ndugu zangu ambao wadogo tu wapo 11 watalala wapi???

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
jamiiforum kuna kina Dr shika tu huku wanasubiri hela za uswizi. Tutaishia kutoa macho tu
 
Nyumba yetu ni ndogo lakini inavyumba ita hii ghorofa ina vyumba vinne.. nikiinunua ndugu zangu ambao wadogo tu wapo 11 watalala wapi???

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mkuu bado eneo lililopo ni kubwa kwahyo unaweza kuongeza mabanda kwa ajili ya ndg zako 11

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mara kwanza naona nyumba Mbezi Beach tena ikiwa kwenye eneo zuri (according to watu kama platozoom ) na kubwa na bado inauzwa kwa bei inayofanana fanana na hadhi yake!! Yaani huwa nahisi wauza na wapangisha nyumba za Mbezi Beach kana kwamba madishi yameyumba hivi!!!

Mkuu dovillenproperty naamini kuna uchawi mwingine Mungu wala hawezi kukupa dhambi!! Yaani kama ndo ningekuwa na mchongo labda mwaka mmoja ujao napata 500M, HAKI YA MUNGU TENA NINGEENDA KUROGA ILI MSIPATE MTEJA KWA SASA hadi nitakapopata hiyo pesa!!! Yaani nipo more impressed na ukubwa wa eneo!!!

Sema hiyo fence imejengwa ki-selfish! Yaani ukuta hadi barabarani kabisa!!!
 
Asante mkuu ni kweli kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…