House4Sale Nyumba nzuri ya Kisasa (Maeneo ya Madale-Pangaboy) Million65 tu!

J Mbungi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
269
Reaction score
74
Karibu tukuuzie nyumba ya Kisasa kabisaaa

Nyumba ipo maeneo ya pangaboy Kama unaenda Mpobo.

Unaweza kupitia barabara ya Mbopo inayotokea Mkoroshini, au kupitia barabara ya Mbopo kutokea madale mwisho.

BEI no Million 65 ( ila maongeza yapo )

Ukihitaji picha zaidi na maelezo ya ziada...
Mawasiliano +255784355775 -Mr MBUNGI.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…