Inaweza kuwa nyumba ya kuishi ama office, moja ina room 3, public toilet,sebule, kitchen ingine room moja na sebule, uzio, geti,usalama/mlinzi, maji, umeme, eneo la kucheza watoto nk#eneo lililotulia, pazuri...
Ni nyuma ya mwenge primary school..
Bei maelewano baada ya kuiona,
Karibuni