Nyumba/plot ya kununua inatafutwa

Nyumba/plot ya kununua inatafutwa

AbbyBonge

Member
Joined
Apr 2, 2009
Posts
52
Reaction score
0
Natafuta Nyumba au Plot ya kununua maeneo ya Upanga, Mikocheni au Regent Estate, mwenye taarifa au mwenye kujua ilipo tafadhali naomba tuwasiliane

kindiki@gmail.com
 
hope utapata ila ukiona kimya nenda pale mybeach offices opposite na shopperz plaza wana list ya majumba na plotiz kibao za kuuza.

usishangae wadau hapa wakakuuliza picha ingawa unataka kununua.
JF ina mengi na wengi
 
Cheki na JF member mmoja anaitwa Expertbroker through 0754 858245 atakusaidia tu!
 
Mkuu mimi nina kiwanja Kibamba maeneo ya chama/ccm ukishuka pale tu unapanda kidogo unaingia. Sehemu fresh kinoma kama uko interested niPM then tupange kuonana, kina ukubwa wa mita 25 - 30
 
Back
Top Bottom