A AbbyBonge Member Joined Apr 2, 2009 Posts 52 Reaction score 0 Jul 30, 2009 #1 Natafuta Nyumba au Plot ya kununua maeneo ya Upanga, Mikocheni au Regent Estate, mwenye taarifa au mwenye kujua ilipo tafadhali naomba tuwasiliane kindiki@gmail.com
Natafuta Nyumba au Plot ya kununua maeneo ya Upanga, Mikocheni au Regent Estate, mwenye taarifa au mwenye kujua ilipo tafadhali naomba tuwasiliane kindiki@gmail.com
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Jul 30, 2009 #2 hope utapata ila ukiona kimya nenda pale mybeach offices opposite na shopperz plaza wana list ya majumba na plotiz kibao za kuuza. usishangae wadau hapa wakakuuliza picha ingawa unataka kununua. JF ina mengi na wengi
hope utapata ila ukiona kimya nenda pale mybeach offices opposite na shopperz plaza wana list ya majumba na plotiz kibao za kuuza. usishangae wadau hapa wakakuuliza picha ingawa unataka kununua. JF ina mengi na wengi
Next Level JF-Expert Member Joined Nov 17, 2008 Posts 3,153 Reaction score 180 Jul 30, 2009 #3 Cheki na JF member mmoja anaitwa Expertbroker through 0754 858245 atakusaidia tu!
Sipo JF-Expert Member Joined Jul 25, 2008 Posts 2,139 Reaction score 95 Jul 31, 2009 #4 Mkuu mimi nina kiwanja Kibamba maeneo ya chama/ccm ukishuka pale tu unapanda kidogo unaingia. Sehemu fresh kinoma kama uko interested niPM then tupange kuonana, kina ukubwa wa mita 25 - 30
Mkuu mimi nina kiwanja Kibamba maeneo ya chama/ccm ukishuka pale tu unapanda kidogo unaingia. Sehemu fresh kinoma kama uko interested niPM then tupange kuonana, kina ukubwa wa mita 25 - 30