stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Sema tu, unaogopa nini?Mungu nifundishe kunyamaza
Babu yangu alinisihi sana nisinunue vitu design hiyo...kwani vina machozi mengi nyuma yake.NYUMBA SABA NDANI YA ENEO MOJA ZINAUZWA (MIL 59) UKONGA MOMBASA MAZIZINI KWA NIABA YA BANK
Mawasiliano: 0718408733
Kuna Vyumba Ishirini Na Tatu (23) Kote Kuna Wapangaji
Umiliki: Leseni Ya Makazi
Ukubwa Wa Eneo: SQM 1,300
Mark : Msikiti Wa Markaz
Umbali: Meter 300 Tu Kutoka Barabara kuu
Bei : 59Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
haya mavitu yanakuwaga na laanaNyumba 7 kwa milioni 59! Hizo nyumba zina vyumba 23, na vyumba vyote vina wapangaji! Eneo lina ukubwa wa Sqm 1300! Eneo ni Ukonga Mombasa! (Sema hiyo kwa niaba ya benki ndiyo imenisaidia kupata walau mwanga kidogo)
Nunua ziache hata miaka 3 kwanza kupisha mashambulizi ya kiroho. Yakija yasikut3 mtuhaya mavitu yanakuwaga na laana
Mwana hapo inabidi tukawaone wahindi wekundu, wale wa kwenye peaky blinders.Sema tu, unaogopa nini?
Huyo Mungu mwenyewe huwezi hata kuthibitisha yupo.
Hujasema bado.Mwana hapo inabidi tukawaone wahindi wekundu, wale wa kwenye peaky blinders.
Maana utaongea kijapan ka sio kilingara
We jobless ushaona heading inasema Million kadhaa unafungua uzi.Mungu nifundishe kunyamaza
It's a too good fvckin deal, miksa agent kaongeza nambaHujasema bado.
shibe mwana malevya mkuu, sema dua zenuWe jobless ushaona heading inasema Million kadhaa unafungua uzi.
Unataka uwinga?