House4Sale Nyumba saba ndani ya eneo moja zinauzwa (mil 59) ukonga Mombasa

Kama ni Bei ndogo hili tangazo lisingefika huku
Madeni ya bank yanauwa watu, wengine wanaishia kuwa vichaa.
Jamaa yetu kakaa rehab miezi 6 bado hajakaa sawa.
Wengine (wachache) wanatajirika na mikopo ya bank.

Hiyo bei ndogo sana, ya kununulia kiwanja tu.
 
Kama ni Bei ndogo hili tangazo lisingefika huku
Labda kuna tatizo mfano mgogoro, eneo ilipo nyumba, n.k.
Kwa anayejua gharama za ujenzi na bei ya viwanja Dar kwa idadi hiyo ya nyumba au vyumba inauzwa bei rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…