Nyumba style za Kijapani

Nyumba style za Kijapani

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Ivi Tanzania hatuwezi kuanza kujenga nyumba km izi za Japan kutumia mbao na karatasi kwa sababu mi naona cement inachukua nguvu kubwa na bei sana; mb izi zipo so simple na nzuri pia?

Imagina hata masikini wanaweza kusaidiwa kuweka kitu kama iki simple tu kuliko nyumba za udongo au nyasi? Ma engineers mnaonaje me nataka kuweka kitu kama hiki?

IMG_9354.jpeg
 
Back
Top Bottom