Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Ivi Tanzania hatuwezi kuanza kujenga nyumba km izi za Japan kutumia mbao na karatasi kwa sababu mi naona cement inachukua nguvu kubwa na bei sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi kama mwakilishi wa tanesco nasema asante kwa kutaka kurundika kuni sehemu moja.