Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Dec 11, 2009 #1 Nyumba tatu za kiajabu duniani Attachments dl3666.com-64b63bb5e0.jpg 59.4 KB · Views: 127 dl3666.com-9881c88d1a.jpg 40.7 KB · Views: 148 dl3666.com-9389692c75.jpg 55.9 KB · Views: 127
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Dec 11, 2009 #2 hadi hapo huwezi kuniingiza kwenye hizo nyumba labda hiyo ya pili
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Dec 11, 2009 Thread starter #3 nyani<abiziani> said: hadi hapo huwezi kuniingiza kwenye hizo nyumba labda hiyo ya pili Click to expand... Unaogopa nini mkuu Nyani?watu weupe wanaishi kama kawaida njoo huku ujaribu kulala usiku mmoja tu </abiziani>
nyani<abiziani> said: hadi hapo huwezi kuniingiza kwenye hizo nyumba labda hiyo ya pili Click to expand... Unaogopa nini mkuu Nyani?watu weupe wanaishi kama kawaida njoo huku ujaribu kulala usiku mmoja tu </abiziani>
Tumain JF-Expert Member Joined Jun 28, 2009 Posts 3,154 Reaction score 71 Dec 11, 2009 #4 tufahamishe wapi zipo tukavinjari good to visit
MaxShimba JF-Expert Member Joined Apr 11, 2008 Posts 35,771 Reaction score 4,065 Dec 11, 2009 #5 Hii nyumba ya barafu likitoke jua, ipo kazi kweli kweli.
Eqlypz JF-Expert Member Joined May 24, 2009 Posts 4,065 Reaction score 643 Dec 11, 2009 #6 Kazi nzuri ndani ya photoshop.
K Kijamani Senior Member Joined Nov 10, 2009 Posts 159 Reaction score 9 Dec 11, 2009 #7 Nipeni taarifa kama mojawapo itauzwa ninunue.