House4Sale Nyumba tatu zinauzwa Chanika

House4Sale Nyumba tatu zinauzwa Chanika

Pangodotcom

Member
Joined
Apr 16, 2020
Posts
11
Reaction score
3
nyumba tatu zilizokua kwenye kiwanja kimoja zinauzwa
Mahali: Chanika
ukubwa wa kiwanja ni 1405 sqm
matumizi ya nyumba yanaweza kutumika kwaajili ya makazi au biashara ya kupokea wageni
Huduma: maji, umeme na shule ipo karibu
umbali kutoka barabara ya lami ni 2km na umbali kutoka barabara kubwa ya vumbi ni 600 meters
umiliki wa nyumba: nyumba ina hati
Bei: 295 million
Mawasiliano: 0629615557


7185612b-937b-44b6-9eba-026faf0566c9.jpg
f33740e7-e82d-4cbb-9456-d010055b2838.jpg
45102ec8-27cc-422a-9636-03cb34153347.jpg
4dbf71f1-9438-4238-8860-1a04603bcce5.jpg
13625693-f08a-4413-8194-576862cc2dbc.jpg
d0b495e6-90a3-436d-9193-64182962779e.jpg
 
Sinaga Tabia ya kukosoa au kuaribu biashara ya mtu, labda tuseme kila nyumba cost 35 milioni, Times 3 sawa 105m, kiwanja na ukubwa wake plus eneo husika lets Say ni 20M. hapo unapata 125 m hata kama wewe ni dalali jiwekee 25m, hapo unapata 150. utavutia wataje, 295 mmh bado nina shaka nisamehe lakini
 
Milioni 300 Du! chanika siku uzi imekuwa kama masaki
Kwa hesabu ya haraka kiwanja kikichukua 25m kila nyumba inasimama kwa 90m. Kiwanja kiki kikichukua 35m inamaana kila nyumba inasimama kwa 85m. Nyumba zenyewe nkiziangalia sioni nyumba iliyotumia 30m.
 
Back
Top Bottom