Sinaga Tabia ya kukosoa au kuaribu biashara ya mtu, labda tuseme kila nyumba cost 35 milioni, Times 3 sawa 105m, kiwanja na ukubwa wake plus eneo husika lets Say ni 20M. hapo unapata 125 m hata kama wewe ni dalali jiwekee 25m, hapo unapata 150. utavutia wataje, 295 mmh bado nina shaka nisamehe lakini