Dalali Alpha Member Joined Apr 20, 2021 Posts 89 Reaction score 60 May 19, 2021 #1 Mahali: Mbezibech Shule Bei: Tshs 250,000 Kwa Mwezi Nyumba ina vyumba viwili, choo cha public ndani, na Sebule. Haina jiko ila ina kibalaza unaweza kutumia kupika. Maji ya dawasa yapo, parking ipo, Fensi na geti, luku yake. Maelezo zaidi 0716442950
Mahali: Mbezibech Shule Bei: Tshs 250,000 Kwa Mwezi Nyumba ina vyumba viwili, choo cha public ndani, na Sebule. Haina jiko ila ina kibalaza unaweza kutumia kupika. Maji ya dawasa yapo, parking ipo, Fensi na geti, luku yake. Maelezo zaidi 0716442950
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 23,901 Reaction score 58,103 May 19, 2021 #2 naona izi bei baada ya kuondoka Magu sio