dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Hiyo nyumba ama gofu? Dalal acha tamaaNyumba inavymba 8 na mabanda ya uwani.. size plot 700sqm
Pia kuna frem moja ya duka
Mita mia kutoka lami
Panafaa Guest house, hostel, apartment, dispensary nk
Bei 80m
Bei ina maongezi japo kidogo
Mawasiliano 0756060183
View attachment 896709View attachment 896710View attachment 896711View attachment 896712View attachment 896713
Ha ha aseme anauza kiwanja labdaHiyo nyuma ama gofu? Dalal acha tamaa
Maisha yanatofautiana mkuuHiyo nyumba ama gofu? Dalal acha tamaa
Haha inabidi uje uniazime nifanye hivyommmnh mie ningeweka camera filter 😀
Haha inabidi uje uniazime nifanye hivyo
Ndio ivyo hamna cha kufichamkuu umelileta kama ilivyo duh
Nn tena ndgDuh,
Aisee
Pazuri sana mkuu kwa biashara hata makazi pia ila panahitaji kuboreshwamkuu umelileta kama ilivyo duh
Huo utofauti wa maisha ndio unakufanya utake pesa ndefu kwa nyumba inayohitaji matengenezo makubwa?Maisha yanatofautiana mkuu
Mkuu nyumba inaweza kuwa inahitaji matengenezo ila thamani ya kiwanja maeneo iliyopo ni kubwa kulinganisha na maeneo tofauti tofauti mjini!Huo utofauti wa maisha ndio unakufanya utake pesa ndefu kwa nyumba inayohitaji matengenezo makubwa?
Camera ipimmmnh mie ningeweka camera filter 😀