Kweli madirisha madogo sana.Sijapenda mambo mawili hapo.
1. Madirisha yake ni madogo madogo sana. Mfano pale jikoni. Na mapishi ya kutumia MIHAN unaweza ku suffocate.
2. Choo cha kukaa ni kinyaa. Kinyaa kabisa. Unless mtumiaji awe mmoja tu.
Sijapenda mambo mawili hapo.