jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,025
- 4,276
Habari ndugu zangu,
Naomba kufahamu ukubwa wa nyumba ya bati 32 ina vyumba vingapi na vipimo vya vyumba vinakuaje kwa muundo wakupaua wa mgongo wa tembo?
Naomba kuwasilisha.
Pia naomba kujua kiwanja cha 15*15 kinaingia nyumba ya saizi gani, uwa na sehemu ya chemba ibaki.