House4Rent Nyumba ya chumba na sebule inapangishwa Skaska-Tegeta

Playman

Member
Joined
Jan 1, 2021
Posts
67
Reaction score
18
Eneo: Skaska( Kituo Kimoja kabla ya Kufika Tegeta)
Uelekeo: Umbali wa dakika 7 kwa kutembea Kutoka kituoni
Bei: Tshs 200,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6

Ina Chumba Kimoja, Sebule, Choo ndani na jiko.

Karibu: 0742141467
 
Mbona bei ndogo?Duu biashara ya nyumba inahitaji moyo,uwekezaji huo wote ambao ungenunua daladala hiyo ungeipata kwa siku au mbili hivi tu
 
Mbona bei ndogo?Duu biashara ya nyumba inahitaji moyo,uwekezaji huo wote ambao ungenunua daladala hiyo ungeipata kwa siku au mbili hivi tu
Chumba na seble unataka ngapi mkuu ? Hio 200 yenyewe tia maji tia maji ingekua prime area kama mikocheni au masaki ndio tungesema hela ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…