Tahadhari ni muhimu na watu tuliwaambia,nyumba za hidden roof sio za kupunguza gharama.
Ona sasa fundi Maiko kamliza mtu,nyumba inavuja na ukuta unaoza,anaanza upya kufumua.
Hakuna kitu rahisi,cheki hapa[emoji116]
View attachment 2080962
View attachment 2080963