Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka nikupe namba ya dalali lakin hyo MUHIMU ikanichapa block. Inshort fikiria maeneo mengineSalaam..
Natafuta nyumba nzuri ya kupanga maeneo ya Mikocheni, Dar. Muhitaji ana familia so inahitajika iwe ni ya vyumba viwili, sebule pamoja na jiko.
Muhimu: Isiwe mazingira ya uswazi na bei isizidi laki 2 na 50 kwa mwezi.
Asante
hata laki 4 hupati,jamaa yako katokea mkoa niniDuh! Ofa imeongezwa mpaka laki 3.. Hapo vipi?
Hiyo bei hata buguruni hupatiDuh! Ofa imeongezwa mpaka laki 3.. Hapo vipi?
Are you serious?Salaam..
Natafuta nyumba nzuri ya kupanga maeneo ya Mikocheni, Dar. Muhitaji ana familia so inahitajika iwe ni ya vyumba viwili, sebule pamoja na jiko.
Muhimu: Isiwe mazingira ya uswazi na bei isizidi laki 2 na 50 kwa mwezi.
Asante
Ukipata uni tag nikupe offer ya kiriku kusafirisha vyombo.Salaam..
Natafuta nyumba nzuri ya kupanga maeneo ya Mikocheni, Dar. Muhitaji ana familia so inahitajika iwe ni ya vyumba viwili, sebule pamoja na jiko.
Muhimu: Isiwe mazingira ya uswazi na bei isizidi laki 2 na 50 kwa mwezi.
Asante
Ipo Bunju nyumba nzima ya vyumba vitatu kwa laki 4Are you serious?
Si akapange Bunju atapata nyumba nzima kwa hiyo hela
Nilitaka nikupe namba ya dalali lakin hyo MUHIMU ikanichapa block. Inshort fikiria maeneo mengine
Tandale kwenyewe huwezi kupata nyumba ya 250,000Duh! Ofa imeongezwa mpaka laki 3.. Hapo vipi?
Kwa siku au!Salaam..