House4Rent Nyumba ya familia inahitajika Mikocheni kwa 250k

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,072
Salaam..

Natafuta nyumba nzuri ya kupanga maeneo ya Mikocheni, Dar. Muhitaji ana familia so inahitajika iwe ni ya vyumba viwili, sebule pamoja na jiko.

Muhimu: Isiwe mazingira ya uswazi na bei isizidi laki 2 na 50 kwa mwezi.

Asante
 
Nilitaka nikupe namba ya dalali lakin hyo MUHIMU ikanichapa block. Inshort fikiria maeneo mengine
 
Mikocheni ya Dar labda ya ndugu yake huyo mpangaji ila kama ni ya mtu mwingine tena isiwe uswahili kama zitakuwepo basi itakuwa zaid ya BIKO mshiko nje nje.
 
Duh! Ofa imeongezwa mpaka laki 3.. Hapo vipi?
 
Salaam..

Natafuta nyumba nzuri ya kupanga maeneo ya Mikocheni, Dar. Muhitaji ana familia so inahitajika iwe ni ya vyumba viwili, sebule pamoja na jiko.

Muhimu: Isiwe mazingira ya uswazi na bei isizidi laki 2 na 50 kwa mwezi.

Asante
Are you serious?
Si akapange Bunju atapata nyumba nzima kwa hiyo hela
 
Kwa hela hiyo, ataishia kupangishwa kwenye banda la mbuzi lililoko Mikocheni.
 
Salaam..

Natafuta nyumba nzuri ya kupanga maeneo ya Mikocheni, Dar. Muhitaji ana familia so inahitajika iwe ni ya vyumba viwili, sebule pamoja na jiko.

Muhimu: Isiwe mazingira ya uswazi na bei isizidi laki 2 na 50 kwa mwezi.

Asante
Ukipata uni tag nikupe offer ya kiriku kusafirisha vyombo.
 
Mkuu hapo ni utani.... hata kwa laki 6 unaweza usipate
 
mikocheni chumba master, sebure na jiko ya kibachela 400,000 hadi 600,000. Sasa una laki mbili na nusu anataka yeye na familia yake akakae karibu na kina warioba na nyerere. Karibu huku kwetu goba tu hakuna jinsi.
 
Salaam..

Natafuta nyumba nzuri ya kupanga maeneo ya Mikocheni, Dar. Muhitaji ana familia so inahitajika iwe ni ya vyumba viwili, sebule pamoja na jiko.

Muhimu: Isiwe mazingira ya uswazi na bei isizidi laki 2 na 50 kwa mwezi.

Asante
Kwa siku au!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…