Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Maelfu ya waandamanaji nchini Bangladesh walielekeza hasira zao kwa aliyekuwa Waziri Mkuu, Sheikh Hasina, aliyepinduliwa na kukimbilia uhamishoni, kwa kuvamia na kuharibu nyumba ya familia yake Jumatano, Februari 5, 2025.
Nyumba hiyo, ambayo awali ilionekana kama ishara ya uhuru wa taifa hilo, sasa waandamanaji wanasema ni alama ya utawala wa kimabavu waliodai Hasina aliongoza.
Pia soma > Waandamanaji wa Bangladesh walivamia makazi ya Waziri Mkuu
Shambulio hilo lilichochewa na hotuba ambayo Hasina alipanga kuitoa kwa wafuasi wake akiwa uhamishoni nchini India, ambako alikimbilia mwaka jana baada ya vuguvugu la wanafunzi kupinga utawala wake wa miaka 15.
Wakosoaji walimshutumu kwa kukandamiza upinzani.
Nyumba hiyo, iliyoko katika mji mkuu wa Dhaka, ilikuwa makazi ya baba yake Hasina, Sheikh Mujibur Rahman, kiongozi wa uhuru wa Bangladesh, ambaye alitangaza rasmi kujitenga na Pakistan mwaka 1971.
Sheikh Mujibur aliuawa katika nyumba hiyo mwaka 1975, na baadaye Hasina aliigeuza kuwa makumbusho.
Tangu Hasina akimbilie uhamishoni, baadhi ya wafuasi wake wamejaribu kukusanyika katika eneo hilo lakini wamekabiliwa na mashambulizi kutoka kwa wakosoaji wake.
Waandamanaji wameendelea kushambulia alama nyingine za utawala wake, wakiharibu majengo na kuchoma moto sehemu mbalimbali.
Jana, Januari 5, 2024, waandamanaji walitishia "kuibomoa kwa tingatinga" nyumba hiyo endapo Hasina angeendelea na hotuba yake, ambayo ilikuwa mwanzo wa mpango wa maandamano wa mwezi mzima wa chama chake cha Awami League.
=====================================================
Thousands of protesters in Bangladesh have demolished and set fire to the home of the country’s founding leader, as his daughter, ousted former Prime Minister Sheikh Hasina, delivered a fiery social media speech calling on her supporters to stand against the interim government.
The attack on Wednesday night was prompted by a speech Hasina planned to give to supporters from exile in neighbouring India, where she fled last August after a deadly student-led uprising against her 15-year rule. Critics had accused her of suppressing dissent.
The house in the capital, Dhaka, had been home to Hasina’s late father, Sheikh Mujibur Rahman, who led the country’s independence from Pakistan in 1971. He was assassinated there in 1975. Hasina later turned the home into a museum.
According to news reports, several thousand protesters, some armed with sticks, hammers and other tools, gathered around the historic house and independence monument, while others brought a crane and excavator to demolish the building on Wednesday night.
Photos posted on social media and published by news organisations showed the building almost levelled to the ground, while parts of it were completely burned.
The country’s leading English-language Daily Star reported early on Thursday that a wave of attacks overnight also targeted several houses and businesses belonging to Hasina’s Awami League supporters.
Source: Al Jazeera