Dalali_wa_kimataifa
Senior Member
- Apr 16, 2025
- 182
- 176
magomeni uswahilini sasa ... tafuta mbweni, au hata bezi mbeach .. hiyo hela kuzikia magemoni dhambi 😁😁El-Sela njoo uninunulie hii kipenzi changu
Uzuri ishajengwamagomeni uswahilini sasa ... tafuta mbweni, au hata bezi mbeach .. hiyo hela kuzikia magemoni dhambi 😁😁
hapo wanauza kiwanja kipenzi.. sio hiyo jengoo.. hiyo jengoo haina hiyo value.. ukisia mbweni kama hiyo niambie mtoto mzuriUzuri ishajengwa
Sasa kwann kaweka pic ya ghorofa?hapo wanauza kiwanja kipenzi.. sio hiyo jengoo.. hiyo jengoo haina hiyo value.. ukisia mbweni kama hiyo niambie mtoto mzuri
Ukipeleka mthaminishaji atakuambia kama mie .. ukisikia mbweni niambi kipenziSasa kwann kaweka pic ya ghorofa?
M mbweni sipataki sasa miguu ya kuku ntapata wapi?Ukipeleka mthaminishaji atakuambia kama mie .. ukisikia mbweni niambi kipenzi
hiyo tatizo dogo kabisa mama yangu Mrs one 😁M mbweni sipataki sasa miguu ya kuku ntapata wapi?
Kwa jinsi madalali wa Bongo walivyo hapa utakuta kaweka kilemba cha milioni 200!Kula 900M niachie mjengo 100M nifanyr Service nigeuze Airbnb