House4Sale Nyumba ya ghorofa moja inauzwa mbezi afrikana

House4Sale Nyumba ya ghorofa moja inauzwa mbezi afrikana

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
3,203
Reaction score
2,227
Nyumba ina vyumba 4 vyote ni self,
Size plot 2300 sqm

Nyumba imefes lami inayoenda whites and hotel
Na pia iko jirani na Giraffe hotel

Panafaa kujenga Hotel,Apertment, supermarket, huduma za kijamii kama msikiti,kanisa
Au makazi pia..nk
Mita 200 kutoka beach

Bei 370,000/= USD

Mawasiliano na kuja kuona wasiliana nami kwa

+255756060183
IMG_20180908_122035.jpg
IMG_20180908_122019.jpg
IMG_20180908_122016.jpg
 
Tatizo la wabongo ndo hilo wanapenda kuropoka tu bei..kwa usawa huu wa magu utasubiri sana.
Kuna jamaa anauza nyumba yao kariakoo billion moja tokea mwaka jana Mpaka leo unaenda mwaka wa pili hawajapata mteja..
 
Sawa mkuu! Kwahyo ushauri wako?
 
Back
Top Bottom