dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Sorry mkuu naweka beiHaina bei au ni bure ?
Tayari mpendwaWeka bei
Why?Usd 370,000 not possible brother???
Zaidi ya mil 800 hii. Tumuite na dk Shika aje kusaidia.Usd 370,000 not possible brother???
Hapo chenye thamani ni eneo husika wala si nyumba mkuuUSD 370,000 Ni karibu Mil 838 za kitanzania. Yaani hiyo ilingane gharama karibu na zile za Lugumi... ? We jamaa acha utani.
Sawa mkuu! Kwahyo ushauri wako?Tatizo la wabongo ndo hilo wanapenda kuropoka tu bei..kwa usawa huu wa magu utasubiri sana.
Kuna jamaa anauza nyumba yao kariakoo billion moja tokea mwaka jana Mpaka leo unaenda mwaka wa pili hawajapata mteja..
Mkuu thamani ya hapo ni eneo husika na wala usitishwe na hiyo nyumbaHili gofu ndo >=800m?!
Oky mkuu tupangie bei tuuzeje?Viwanja Mbezi beach vimepungua Sana bei mkuu.