House4Sale Nyumba ya Ghorofani Inauzwa Upanga

Joined
Feb 27, 2021
Posts
12
Reaction score
5
Nyumba ina muonekano wa kuvutia,


Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja kinajitosheleza ( Masta bedroom), subule, jiko la kisasa na mahala pa kula.

Ni nyumba imara inayoweza kumudu mazingira kwa muda mrefu pasipo kufanyiwa marekebisho yasiyo na ulazima wowote. Bei TZS -210milioni.

Hii ni nyumba imejengwa kwa malighafi bora, mafundi na wasimamizi bora! Wahi nyumba hii sasa.

Mawasiliano 0784225000



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…