MagariTanzania
Member
- Feb 27, 2021
- 12
- 5
Nyumba bora ya ghorofani, inavutia na ya kisasa. Nyumba ipo eneo tulivu la Mbezi Juu, ukiwa sebuleni au katika Varanda unatazama Bahari ya Hindi Au unapuliziwa upepe mwanana wa Bahari.
Nyumba ipo wazi na tayari kwa ajili ya kupangishwa. Nyumba ina muonekano wa kuvutia ndani na nje Ina vyumba viwili vya kulala (Chumba kimoja cha kawaida na chumba kingine kinajitoshereza), sebure kubwa, jiko la kisasa na mahala pa kula. Nyumba ina viyoyozi vyumbani na sebuleni. Pia vyumba vyote vina makabati ya ukutani.
Nyumba ina parking 2. Nyumba inawalinzi masaa 24/7. Nyumba inahitaji Kodi ya Miezi Sita au Mwaka Mzima
Kodi kwa mwezi TZS 750,000/=
kuiona piga au whatsapp 0784225000