S SUBE2021 JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 348 Reaction score 103 Oct 24, 2014 #1 Nyumba inapangishwa 180, 000/= kwa mwezi mwananyamala. Mwenye kuhitaji aje inbox na aache contact nitamcheki. Ni vyumba viwili kimoja master. Ina sitting room iko getini. Ina LUKU yake na kisehemu cha kupikia.
Nyumba inapangishwa 180, 000/= kwa mwezi mwananyamala. Mwenye kuhitaji aje inbox na aache contact nitamcheki. Ni vyumba viwili kimoja master. Ina sitting room iko getini. Ina LUKU yake na kisehemu cha kupikia.
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 11,049 Reaction score 10,502 Oct 24, 2014 #2 Weka picha.
S SUBE2021 JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 348 Reaction score 103 Oct 24, 2014 Thread starter #3 Karibuni tu kwa wenye kuhitaji kama utaona tangazo linakuhusu. Zama Inbox
S SUBE2021 JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 348 Reaction score 103 Oct 24, 2014 Thread starter #4 Kwa anayetaka kuitazama anakaribishwa