Nyumba ya kifahari inauzwa mbondole wilaya ya ilala dsm bei ya kutupa

Nyumba ya kifahari hata pavings haina. Gate haina.
Ok.
Bei ni rafiki kwa hiyo nyumba.
Ni heri mtu anunue hii nyumba ahamie chap kuliko kununua uwanja Kimara kwa bei hiyo halafu kuanza kupambana kujenga
 
Kuna levels tofauti za ufahari, watakuwepo wanao ikubali hiyo quality as a "mansion/villa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…