House4Rent Nyumba Ya Kifamilia IPo Kigamboni

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Posts
3,079
Reaction score
2,152
Nyumba ya kisasa parking, Kisima cha Maji safi Gari hadi getini, Ipo km 1 toka darajani/pantoni

Tsh. 500,000 kwa mwezi

Vyumba vitatu kimoja master
Sebule ,Jiko la ndani na nje, choo Cha familia, tiles full na tank kubwa la kuhifadhi Maji!

Whattp: +255 718 295 182 Au +255 753 254 562

_______________________________
Bango

1479715766848.png

1479715816469.png
 
na nyie mtafute kazi...mnakula hela za watu bure tu
Hyo nayo ni kazi mkuu. Au kwako definition ya kazi ipoje??? Huoni kwamba hata kukutafutia wewe nyumba ni kazi..??? Daah, sometimes watu mnazingua sn aisee..!!!
 
tunaweza kujitafutia lkn mmekuwa na sauti utadhani ni za kwenu...mtu akienda personally hapati
 
Ndiyoo..hawa watu kisa anajua nyumba ilipo eti kakutafutia nyumba halafu kodi ya mwezi mzima umpe yeye...kama alichangia tofali vile.Na ngoja mtatafuta kazi tofauti za kufanya mambo yanabadilika..
 
Hii Ni kazi ukinihitaji utanitafuta na itabidi unilipe hela yangu ya mwezi mmoja
 
Back
Top Bottom