House4Sale Nyumba ya kisasa Chanika 73 mil

mslopagaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
367
Reaction score
36
Nyumba ya kisasa ina vyumba vtano vya kulala pamoja na master bedroom 3 zilizounganishwa na system ya maj moto na barid,sitting room kubwa ya kisasa, dinning, Jiko,store, public toilet,
Contact; 0656 698232
 
Mbona bei kubwa kuzidi ile ya nyumba za serikali zilizosimamiwa mauzo na joni pombe majipu!!!
 
Vyumba 5 vya kulala. Alafu na Master bedroom 3
Embu tuchanganulie apo ina maana nyumba ina Vyumba 8 au?
 
Duh! Hii nyumba iko chanika halafu ghali kuliko zile za oysterbay na masaki alizouza Magufuri?
 
Msimu huu wa magufuli watu wengi watafilisika mnoo
 
Hiyo nyumba inauzwa bei rahisi sana ukifananisha na ghalama za ujenzi kwasasa labda kama ipo eneo ambalo umehisi itavunjwa na serikali siku si nyingi. Ningekua nahitaji nyumba kwasasa ningeifuatilia hiyo nyumba kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…