House4Sale Nyumba ya Kisasa Chanika

mslopagaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
367
Reaction score
36
Nyumba ina vyumba vtatu (1master&2single with public toilet),sitting room kubwa, dinning, (fens&parking area),umeme unawaka ipo barabara ya mtaa kutoka stand ya daladala n mita 700 contact 0656 698232
 
Nyumba imejengwa kisasa ina vyumba vwil(1 master kubwa&single) sitting room kubwa,Jiko dinning,store ina vyumba vtatu vya nje,ina fens kubwa kiwanja kina ukubwa wa sqmita 856
hii nyumba ipo kweny ujenz wa mwsho hapo ilipo 90ml ikimaliziwa n 115mil
0655 698232
 
Nyumba ina vyumba vtatu vya kulala ukubwa ft12×10 (1master&2single),sitting room, dinning room,Jiko, store public toilet,fens & parking area uwanja 28m/34m,umeme unawaka, nyumba ipo barabara ya mtaa so unaeza ongeza frem kutafta rizik zaid 0656 698232 kuna nafas ya mazungumzo kwa muhtaj wa kwel
 
Chanika Kuna nini ,,,,,,,!!!! [emoji15] [emoji15] [emoji15] .mbona kila siku mnauza nyumba.
 
Chanika Kuna nini ,,,,,,,!!!! [emoji15] [emoji15] [emoji15] .mbona kila siku mnauza nyumba.
Mkuu mm ndo naztangaza biashara nyng za chanika mitandaon ukienda Kupatana.com zoo com,Jf smtym kweny gazet la majira natangazaga so hii nyumba naitangaza wik ya pil kwa sasa sio mpya humu jukwaan halafu angalia comment zangu kuna Mkuu aliniulza swal kama lako nlimpa ufafanuz akaelewa so kama umeipenda nyumba njoo tukae mezan upewe documents na biashara ifanyke kisheria Mkuu
 
Futi 10×12 hiyo nyumba au choo, maana ft 10 ni mita 3.3 na 12 ni mita 4. Thibitisha vipimo.
 
Futi 10×12 hiyo nyumba au choo, maana ft 10 ni mita 3.3 na 12 ni mita 4. Thibitisha vipimo.
Mkuu tafta mtaalam akupimie chumba chako uniambie upana wake na uref fut ngap then uje jukwaan unipe majib
 
Chanika Kuna nini ,,,,,,,!!!! [emoji15] [emoji15] [emoji15] .mbona kila siku mnauza nyumba.
Umegundua eeeh,sio Chanika tu kuna eneo wanaita Chamazi nako zinauzwa balaa sijui kunani pale!!
 
Mkuu tafta mtaalam akupimie chumba chako uniambie upana wake na uref fut ngap then uje jukwaan unipe majib
Mkuu tangazo lako lina utata, maana umeandika "nyumba ina vyumba vitatu vya kulala ukubwa ft 12x10" moja kwa moja mtu atajua ukubwa wa nyumba hiyo. Maswali ya mimi kutokuwa na kiwanja au kutojua bei ya tofali wa si hoja rekebisha tangazo lisiwe na utata.
 
Mkuu mm nlkua namaansha ukubwa wa vyumba sio nymba hayo mambo mengne mkuu naona wanajukwaa walkua wanatoa challenge tu mkuu
 
Huo mnara wa voda hauna madhara kwa wakaaji?je umo kwenye plot na tozo watakuwa wanatoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…