nyumba ya kisasa inakodishwa mbezi

nyumba ya kisasa inakodishwa mbezi

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
567
Reaction score
400
nyumba nzuri na ya kisasa inakodishwa,ipo maeneo ya
mbezi hapa goigi.
ina ac mbili na security system na ni rahisi kufaki kwa
gari.kwenda kwa gari hadi kwenye nyumba ni dk 3 kwenda
kwa miguu ni dk 5-6.
kodi 800,000 kw mwezi.kodi kuanzia miezi sita hadi
mwaka.kama una hitaji ni pm
 
kila siku napiga kelele,kuhusu ili swala,utawezaje kumwambia mtu unapangisha nyumba lak 8 harafu ujaweka picha ya nyumba,biashara gani hizi? dunia ya sasa biashara kama hizi lazima uweke picha ya nyumba watu waone,tena si kwa nje tu ata picha za ndan ya nyumba,kuweni serious na biashara
 
Back
Top Bottom