kila siku napiga kelele,kuhusu ili swala,utawezaje kumwambia mtu unapangisha nyumba lak 8 harafu ujaweka picha ya nyumba,biashara gani hizi? dunia ya sasa biashara kama hizi lazima uweke picha ya nyumba watu waone,tena si kwa nje tu ata picha za ndan ya nyumba,kuweni serious na biashara