T TUMY JF-Expert Member Joined Apr 22, 2009 Posts 705 Reaction score 93 May 30, 2014 #1 Nyumba ya kisasa kabisa inapangishwa kwa bei nafuu kabisa, ina vyumba Vitatu vya kulala, dinning, sitting room, kitchen pamoja na uzio.Ipo JET-LUMO(Mwisho wa lami). Kwa anayehitaji apige simu namba 0714 94 60 10.
Nyumba ya kisasa kabisa inapangishwa kwa bei nafuu kabisa, ina vyumba Vitatu vya kulala, dinning, sitting room, kitchen pamoja na uzio.Ipo JET-LUMO(Mwisho wa lami). Kwa anayehitaji apige simu namba 0714 94 60 10.
Aquatic JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 716 Reaction score 270 May 30, 2014 #2 maliza tangazo kbs...weka bei
M maguzumasese2005 JF-Expert Member Joined May 1, 2014 Posts 642 Reaction score 172 May 30, 2014 #3 Weka na picha mkuu