Kireka1980
JF-Expert Member
- Mar 18, 2008
- 302
- 44
Nyumba ina vyumba vinne ikiwemo master (chumba kimoja kikubwa kimefungwa taa maalumu za kusomea), sitting na dinning jiko na store yake, public toilet, full tiles (jikoni na vyoo full hadi kuta), AC master na sitting ipo ndani ya fence in banda la mbwa, kisima cha ku-drill (depth 100 metres) ina eneo la wazi ndani ya fence (20 square metres). Bei ni USD700 kwa mwezi kama upo interested ni-pm at vantde2000@hotmail.com
ah jamani kweli watu mnaniacha hoi yaani nimecheka hizo taa maalum za kusomea!mie hoi,eti dola mia saba bongo kuna wazimu hivi mshahara wa nurse,mwalimu na wengineo kweli utapanga nyumba dola mia saba utazitoa wapi?si ndio mambo ya kupalilia wizi na ufisadi jamani!!!!Mkuu hizi taa maalumu za kusomea ndio zipi? Unamaana zimefungwa karibu na kitanda au mezani au ni bulb maalumu za kusomea? Nifungue macho!!
ah jamani kweli watu mnaniacha hoi yaani nimecheka hizo taa maalum za kusomea!mie hoi,eti dola mia saba bongo kuna wazimu hivi mshahara wa nurse,mwalimu na wengineo kweli utapanga nyumba dola mia saba utazitoa wapi?si ndio mambo ya kupalilia wizi na ufisadi jamani!!!!