Mapungufu:
1. bila shaka bado mpangaji aliyepo bado hajaondoka (ushahidi picha ya kwanza hapo juu)
2. rangi rangi rangi. ukuta hasa wa ndani umechakaa sana (tazama picha zote hapo juu)
Hivo basi sijavutiwa na nyumba kiasi cha kumshawishi baba Debo aje aione.
Yaani hii nyumba hamna tu, nafuu hata ya dalali Tunzo aliyopost jana.
Mpangaji yupo halafu pawe open kila mahali? I.e Sitting room, jikoni.Mapungufu:
1. bila shaka bado mpangaji aliyepo bado hajaondoka (ushahidi picha ya kwanza hapo juu)
2. rangi rangi rangi. ukuta hasa wa ndani umechakaa sana (tazama picha zote hapo juu)
Hivo basi sijavutiwa na nyumba kiasi cha kumshawishi baba Debo aje aione.
Yaani hii nyumba hamna tu, nafuu hata ya dalali Tunzo aliyopost jana.
Mbona nyumba nzuri.. bei nzuri..
Mkuu mpotezee huyo sio mteja
Pia mama debora umeshakua mtu mzima hiyo ni biashara ya mtu kama hujapenda pita tu sio lazima ucomment!
Ndio mana nikasema wa ni dalali nini
Kama ww si dalali basi ww ni mchawi,
Mchawi si lazima tunguli! mchawi wa biashara za watu.