House4Rent Nyumba ya kisasa inapangishwa Tegeta Masaiti Dar es salaam

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,082
Reaction score
2,402
Nyumba ipo peke yake kwenye uzio, ina eneo kubwa na bustani!

Nyumba ina vyumba vitatu, kimoja ni master, nina, sifa zake ni nyumba za kisasa, waweza ona picha! mazingira ni safi na maji ya dawasco yapo! Mjengo ni wa maana!

kodi 1M kwa mwezi
na ilipwe kwa miezi 6

ukivutiwa nichek kwa 0684448888

 
du mkuu halafu nakuja nausingizi wangu au naukuta humo ndani?? bei balaa
Ni kweli! ila nyumba nayo ni nalaa, pia tupo tofauti kwa wengine ipo juu ila kwa wengine ni kawaida sana!
 
Kodi milioni ngapi kwa mwezi? Nakunya hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…