Nyumba ya kisasa inauzwa bei poa

Nyumba ya kisasa inauzwa bei poa

Mwana Mnyonge

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
518
Reaction score
451
Nyumba inauzwa ipo temeke yombo,ina vyumba vitatu vya kulala ,siiting room,dinning choo cha ndani ,choo cha nje,fensi,sintank ya maji bomba la maji bei milioni 45 maelewano yapo,mawailiano 0788010077 or 0713984545
 
Weka picha mwanajamvi itasaidia kumpatia mtu idea
 
Temeke Yombo sehemu gani? Unaonaje uki attach pictures za hiyo nyumba?
Je ina title deed? Je inafikika kwa gari?
Disclose each and everything if you are doing business. Tena vipi kuhusu neighbourhood?
 
Back
Top Bottom