Nyumba ya kisasa inauzwa kigamboni mji mwea

Jopapa

Member
Joined
May 28, 2019
Posts
63
Reaction score
27
Hii ni nyumba ya kisasa ya ghorofa moja imekamilikaipo sokoni , inauzwash 130 milioni, nyumba ipo kigamboni mji mwema, imefanyiwa hatua za awali kupata lesseni ya makazi hivyo mnunuaji atamalizia hatua zilizobaki ili aweke jina lake, kwa mteja serious anicheki no 0783 662495
 
Tangazo limeisha? Ina vyumba vingapi ground floor na pia first floor ina vyumba vingapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…