Dalali Mtembezi
Member
- Mar 16, 2019
- 29
- 47
Jenga uza?
Sent using my Nokia Torch
Naona sasa hivi wamemaliza Chamazi wanahamia MatituJenga uza?
Sent using my Nokia Torch
Ina matofali ya mabuaHii nyumba imetangazwa na madalali wakubwa wote hapa mjini lakini haiuziki.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Matofali ya biscuit
Kuna Mwanajeshi mmoja mstaafu aliuziwa nyumba pale Chamazi Magengeni upande wa Magenge kulia nyuma ya msikiti. Sasa aliponunua akamwita fundi amfanyie marekebisho upande wa Dinning na Sitting room. Fundi alipobomoa kiukuta cha Dinning cha mushangaza kuta za upande wote wa dinning mpaka vyumbani zikashuka zikawa vifusi vya mchanga tupu. Alichofanya ni kwenda kwa aliemuuzia tena kwa bastola na kumwambia amrudishie hela jaama ikabidi arudishe hela.Matofali ya biscuit
Ukiwa huko ndani huruhusiwi hata kupiga chafya,au kupiga sabufa utashtukia ukuta unaanza kumomonyoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nyumba mbagara maji matitu watu wana kaa bure nzuri ina vituko kuishi mule uvute Jani.Hii nyumba imetangazwa na madalali wakubwa wote hapa mjini lakini haiuziki.
Sent from my iPhone using JamiiForums
HahahahaKuna Mwanajeshi mmoja mstaafu aliuziwa nyumba pale Chamazi Magengeni upande wa Magenge kulia nyuma ya msikiti. Sasa aliponunua akamwita fundi amfanyie marekebisho upande wa Dinning na Sitting room. Fundi alipobomoa kiukuta cha Dinning cha mushangaza kuta za upande wote wa dinning mpaka vyumbani zikashuka zikawa vifusi vya mchanga tupu. Alichofanya ni kwenda kwa aliemuuzia tena kwa bastola na kumwambia amrudishie hela jaama ikabidi arudishe hela.
Sent using Jamii Forums mobile app