Chocolate Senior Member Joined Feb 5, 2009 Posts 117 Reaction score 48 Nov 4, 2013 #1 Nyumba nzuri ya Kisasa, imezungushiwa ukuta, parking ya magari mawili, pamoja na kibanda cha mlinzi. Ipo Mikocheni Block C. Eneo lote ni Sqm 258. Hati zote zipo kwa ajili ya uhakiki. Kwa mawasiliano piga namba 0767 593399.
Nyumba nzuri ya Kisasa, imezungushiwa ukuta, parking ya magari mawili, pamoja na kibanda cha mlinzi. Ipo Mikocheni Block C. Eneo lote ni Sqm 258. Hati zote zipo kwa ajili ya uhakiki. Kwa mawasiliano piga namba 0767 593399.
Mnama Platinum Member Joined Oct 13, 2010 Posts 3,544 Reaction score 3,828 Nov 4, 2013 #2 Picha wapi ?
F fikirikwanza JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 7,452 Reaction score 3,073 Nov 6, 2013 #3 picha bei je?
Chocolate Senior Member Joined Feb 5, 2009 Posts 117 Reaction score 48 Nov 13, 2013 Thread starter #5 Bei ni Tshs. 220M, hakuna cha dalali sababu ya kuuza ni matatizo kifedha. Karibuni sana mazungumzo yapo pia. Asante!
Bei ni Tshs. 220M, hakuna cha dalali sababu ya kuuza ni matatizo kifedha. Karibuni sana mazungumzo yapo pia. Asante!
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 996 Nov 13, 2013 #6 Chocolate said: Bei ni Tshs. 220M, hakuna cha dalali sababu ya kuuza ni matatizo kifedha. Karibuni sana mazungumzo yapo pia. Asante! Click to expand... Picha iko wapi? na bila dalali utachelewa kuuza hiyo nyumba.
Chocolate said: Bei ni Tshs. 220M, hakuna cha dalali sababu ya kuuza ni matatizo kifedha. Karibuni sana mazungumzo yapo pia. Asante! Click to expand... Picha iko wapi? na bila dalali utachelewa kuuza hiyo nyumba.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,227 Reaction score 98,761 Nov 13, 2013 #7 Duuuu sqm 250 ni milion 220? Khaaaaaaaa