Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,088
Weka bei na Picha za nyumba ndani na nje
Ni eneo ambalo lina upimaji shirikishi, lakini hati na mambo mengine unaweza ukaprocess wakati upo kwenye nyumba yako badala ya kunyanyaswa na wenye nyumba.karibuNi plot no.ngapi nijiridhishe Kama ulikuwa unalipia kodi ya majengo na ardhi kwa kila mwaka?
Ni eneo ambalo lina upimaji shirikishi, lakini hati na mambo mengine unaweza ukaprocess wakati upo kwenye nyumba yako badala ya kunyanyaswa na wenye nyumba.karibu
Ndiyo walikuja wakaona eneo na mchakato unaendelea, kwa sasa kuna Squatter Number, karibu usiogopeAsante! Bila shaka utakuwa ulishafanyiwa urasimishaji watu wa ardhi na kupewa namba au hilo nalo ulikuwa bado?
Ndiyo walikuja wakaona eneo na mchakato unaendelea, kwa sasa kuna Squatter Number, karibu usiogope
Bei ya kuanzia mkuu naipenda sana Mwanza
KWELI NYUMBA NI PAA, JAPO IMEPIGWA PAA JEUPE LAKINI IMEPENDEZA SANAAAAAA.. KUMBE MSOUTH MBWEMBWE TU
NYUMBA NI CHOOKWELI NYUMBA NI PAA, JAPO IMEPIGWA PAA JEUPE LAKINI IMEPENDEZA SANAAAAAA.. KUMBE MSOUTH MBWEMBWE TU