Ipo kimara Stop Over mita chache kutoka barabara kuu-Morogoro road. Ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo kikiwa self contained, sebure kubwa, jiko na dinning. Ina Hati Miliki. Bei 125mil. Piga simu 0784225000 au tembelea Property & Real Estate Tanzania.
Kitomai,
Kwanza nyumba hiyo umeanza kutuonyesha picha ya uwani kuna mabakuli, nguo chafu, duh.
Pili,huyo mwenye nyumba jamani rangi za swimming pool?
Anyway, ni nyumba nzuri kiasi.