House4Sale Nyumba ya kisasa inauzwa

House4Sale Nyumba ya kisasa inauzwa

mmwamba

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
236
Reaction score
235
Wakuu, nyumba nzuri sana na kiwanja ni kikubwa inauzwa

Kiwanja kina 2095m² na kina hati (yaani ukubwa wa eneo ni skwea mita elfu mbili na tisini na tano)

BEI: Tshs. 250,000,000 (milioni mia mbili na hamsini) maongezi yapo

Nyumba(eneo) ipo Madale kwa Mathias

kwa mawasiliano nipigie 0712632465/0629777849

IMG_9492.jpg

IMG_0057.jpg

IMG_0038.jpg

IMG_9495.jpg

IMG_E0072.jpg

IMG_9497.jpg

IMG_0039.jpg

IMG_9491.jpg

IMG_E0073.jpg

IMG_9489.jpg

IMG_0037.jpg

IMG_0061.jpg

IMG_0072.jpg

IMG_9498.jpg

IMG_9444.jpg

IMG_0072.jpg
 
Attachments

  • Madale.mp4
    18.8 MB
Wakuu, nyumba nzuri sana na kiwanja ni kikubwa inauzwa

Kiwanja kina 2095m² na kina hati (yaani ukubwa wa eneo ni skwea mita elfu mbili na tisini na tano)

BEI: Tshs. 250,000,000 (milioni mia mbili na hamsini) maongezi yapo

Nyumba(eneo) ipo Madale kwa Mathias

kwa mawasiliano nipigie 0712632465/0629777849

View attachment 2105265

View attachment 2105267

View attachment 2105268

View attachment 2105269

View attachment 2105270

View attachment 2105271

View attachment 2105272

View attachment 2105273

View attachment 2105312

View attachment 2105313

View attachment 2105314

View attachment 2105315

View attachment 2105316

View attachment 2105317

View attachment 2105318

View attachment 2105320
Kwa ela hiyo ni bora achukuw Mkopo bank awauzie kiaina failure that kwa Jua hili Tozo kila Mahali asitegemee kuuza kwa Bei hiyo.
Teh teh teh Ila Madalali sio watu wazur!!!
 
Asante kwa ushauri wako. Nitaufanyia kazi
Kwa ela hiyo ni bora achukuw Mkopo bank awauzie kiaina failure that kwa Jua hili Tozo kila Mahali asitegemee kuuza kwa Bei hiyo.
Teh teh teh Ila Madalali sio watu wazur!!!
 
Mkuu mitaa ya kule kuelekeza kidogo nashindwa , ila ni maeneo ya nyakasangwe kwa mathias

Ukitokea Flamingo unaenda hadi Msigani, mbele yake sasa. Au ukiwa ukipita ile njia ya kiwandani baada ya bwawani unaambaa na fence ya kiwanda hadi kwa Kipira, ukielekea ofisi za serikali za mtaa ndio kuna eneo nasikia wanaita kwa Mathias. Sijui sasa hii nyumba ipo eneo gani.

Ila 250M...

Sijajua uthaminishaji umefanyika vipi, lakini gharama ya nyumba haifiki huko. Itabebwa na ukubwa wa kiwanja na eneo ilipo.

Panafikika kirahisi, changamoto ya baadhi ya sehem kule ni barabara mvua ikinyesha.
 
kama ni Nyakasangwe kwa hiyo bei duuuuuuuuuuuuuhhhhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]parefu sana ndugu
 
Back
Top Bottom