House4Rent Nyumba ya kupanga Arusha

House4Rent Nyumba ya kupanga Arusha

denoo49

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
6,113
Reaction score
6,950
Wakuu, poleni na majukumu.
Kwa anayehitaji nyumba ya kupanga, maeneo ya Ngulelo kituo cha dala dala, nyumba ipo hatua 15 to 20 kutoka kituo cha dala dala Ngulelo, bara bara kuu ya Arusha to Moshi.

AINA YA NYUMBA
Ni nyumba inayojitegemea, ina vyumba viwili vya kulala, Sebure, Bafu na Choo kwa ndani, jiko lenye kabati zake full.

Maji na umeme unajitegemea.

Parking ya kutosha na ulinzi muda WAOTE.

Bei Laki 250. HAKUNA DALALI, na ukiipata hutojuta, bali utatoka unahamia kwako kama una malengo.
Kwa mwenye uhitaji nitafute pm or inbox.
Muwe na siku njema.
 
Back
Top Bottom