MKUDE SIMBA
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 305
- 167
Nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili vya kulala, jiko sebule, fensi, huduma ya maji ya kuaminika na ya kujitegemea umeme inahitajika maeneo ya njiro au moshono, budget laki 2.5.
hapana madalali. Inbox hapa jamii forums kwa mwenye nayo.
hapana madalali. Inbox hapa jamii forums kwa mwenye nayo.