B ba nso JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 668 Reaction score 225 Sep 28, 2012 #1 Wana JF nina hitaji msaada kama kuna mwenyeji wa Hombolo Dodoma, ninahitaji nyumba ya kupanga maeneo hayo ni muajiliwa mpya chuoni. Vile Vile kama naweza kupata kiwanja cha kujenga kwa gharama isiyo zidi milioni moja. Asanteni.
Wana JF nina hitaji msaada kama kuna mwenyeji wa Hombolo Dodoma, ninahitaji nyumba ya kupanga maeneo hayo ni muajiliwa mpya chuoni. Vile Vile kama naweza kupata kiwanja cha kujenga kwa gharama isiyo zidi milioni moja. Asanteni.