Nyumba ya kupanga inahitajika (Goba/ Mbezi)

Joined
Apr 18, 2017
Posts
86
Reaction score
57
Habari za leo wanaJF,

Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Goba ama Mbezi Africana/Luis yenye vyumba viwili/vitatu vya kulala, choo, sebule, jiko na dining.

Umeme uwe wa kujitegemea, maji, pamoja na ulinzi salama.

Bajeti yangu mwisho ni 200k TZS, na ninahitaji ya mkataba wa kuanzia kwa miezi 3 kwanza.

Pesa kamili ya udalali sina lakini kipo kiasi kadhaa cha kupooza machungu.

Tuwasiliane hapa +255676095799
 
Umepata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…